Kristine Breistøl

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kristine Breistøl - EHF Champion's League, Metz Handball / Larvik HK - 15 novemba 2014.

Kristine Breistøl (Amezaliwa 23 Agosti 1993) .Ni mchezaji wa mpira wa mikono kutoka Norwei, kwenye timu ya taifa ya Norwei 2011 aliiwakilisha Norwei katika michuano ya mpira wa mikono ya wanawake.[1] Alicheza michezo (mechi) 37 na kufunga mabao 100 kwenye timu ya vijana ya Norwei.[2]

MAREJEO[hariri | hariri chanzo]

  1. "Birkmyre, Sir James, (born 29 Feb. 1956), Director of Championship Management (formerly Tournament Development), PGA European Tour, since 1994", Who's Who (Oxford University Press), 2007-12-01, iliwekwa mnamo 2021-12-03 
  2. "Birkmyre, Sir James, (born 29 Feb. 1956), Director of Championship Management (formerly Tournament Development), PGA European Tour, since 1994", Who's Who (Oxford University Press), 2007-12-01, iliwekwa mnamo 2021-12-03