Koobi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Koobi
Koobi ndani ya mfuko

Koobi ni tilapia ni samaki wa chumvi aliyekaushwa chumvi nchini GhanaSamaki ana ladha ya kiasili kwenye mchuzi na supu[1][2] katika vyakula vitamu vya kienyeji vya Ghana[3]. Hutumika kutayarisha vyakula vya Ghana kama vile fufu, supu, ndizi na mchuzi na vyakula vingine vya asili ya Ghana.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Koobi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.