Nenda kwa yaliyomo

Kocho (chakula)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kocho (Ge'ez: ቆጮ ḳōč̣ō) ni mkate uliochachushwa na kuandaliwa kutokana na mmea wa asili uliokatwakatwa vipande vidogo. Huliwa sana na jamii ya watu wa Ethiopia kutokea injera. Mwaka 1975 zaidi ya nusu Tatu ya wa Ethiopia wanategemea chakula cha kocho kama chakula cha pembeni.[1] Huliwa na vyakula kama kitfo.