Kizhaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizhaba ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wazhaba. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kizhaba imehesabiwa kuwa watu 7800. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizhaba iko katika kundi la Kiqiangiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizhaba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.