Kiyombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiyombe (lugha))

Kiyombe ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wayombe. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiyombe imehesabiwa kuwa watu 39,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiyombe iko katika kundi la H10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyombe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.