Kiyerukula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiyerukula ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wayerukula. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiyerukula imehesabiwa kuwa watu 69,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyerukula iko katika kundi la Kitamil.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyerukula kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.