Kiyambeta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiyambeta (lugha))

Kiyambeta ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wayambeta. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiyambeta imehesabiwa kuwa watu 3700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiyambeta iko katika kundi la A40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyambeta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.