Kiwaxianghua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwaxianghua ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wahan. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiwaxianghua imehesabiwa kuwa watu laki tatu. Uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi haujulikani. Wengine huiangalia kuhusiana na Kimiao, wengine na Kichina.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwaxianghua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.