Kiwa-Parauk
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kiwa cha Parauk)
Kiwa-Parauk ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Myanmar, China na Uthai inayozungumzwa na Wawa-Parauk. Idadi ya wasemaji wa Kiwa-Parauk imehesabiwa kuwa watu 400,000 nchini Myanmar (2000), watu 399,000 nchini China (2008) na watu 6700 nchini Uthai (2008). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwa-Parauk iko katika kundi la Kipalaungiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiwa-Parauk kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiwa-Parauk
- lugha ya Kiwa-Parauk katika Glottolog
- lugha ya Kiwa-Parauk kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwa-Parauk kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |