Kivunapu
Mandhari
Kivunapu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wavunapu kwenye kisiwa cha Santo. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kivunapu imehesabiwa kuwa watu 380. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivunapu iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kivunapu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kivunapu Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kivunapu katika Glottolog
- lugha ya Kivunapu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kivunapu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |