Kivera'a

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kivera'a ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wavera'a kwenye kisiwa cha Vanua Lava. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kivera'a imehesabiwa kuwa watu 300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivera'a iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivera'a kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.