Kivenda
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kivenda (lugha))
Kivenda ni lugha ya Kibantu hasa nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wavenda. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kivenda nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 980,000. Pia kuna wasemaji 84,000 nchini Zimbabwe. Kufuatana na uainishaji wa [[lug za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kivenda iko katika kundi la S20.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kivenda kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kivenda
- lugha ya Kivenda katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ven
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kivenda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |