Kivao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kivao ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wavao kwenye visiwa vya Vao na Malekula. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kivao imehesabiwa kuwa watu 1900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivao iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.