Kivaiphei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kivaiphei ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wavaiphei. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kivaiphei imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kivaiphei iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kivaiphei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.