Nenda kwa yaliyomo

Kiu (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiu ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uchina inayozungumzwa na Wablang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiu imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiu iko katika kundi la Kipalaungiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiu (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.