Kituwari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kituwari ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Watuwari. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kituwari imehesabiwa kuwa watu 360. Uainishaji wa Kituwari kwa ndani zaidi haujakubaliwa ila wengine huiangalia kuwa lugha ya Kiwalio, na siyo lugha ya Kisepik.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kituwari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.