Kitujia cha Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitujia ya Kusini ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Watujia. Ingawa kuna Watujia zaidi ya watu milioni nane (sensa ya mwaka wa 2000), mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kitujia ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 1500, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kwa jumla Watujia huongea Kichina ya Mandarin kama lugha yao ya kwanza badala ya Kitujia ya Kusini au ya Kaskazini. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitujia ya Kusini iko katika kundi lake lenyewe la Kitujia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitujia cha Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.