Nenda kwa yaliyomo

Kitsou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitsou ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan inayozungumzwa na Watsou. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitsou imehesabiwa kuwa watu 2130. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitsou iko katika kundi lake lenyewe la Kitsouiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitsou kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.