Kitharaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitharaka ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Watharaka. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kitharaka imehesabiwa kuwa watu 175,905. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitharaka iko katika kundi la E50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitharaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.