Nenda kwa yaliyomo

Kitchitchege

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kitchitchege (lugha))

Kitchege au Tchitchege ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Watchege. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kitchitchege imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitchitchege iko katika kundi la B70.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitchitchege kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.