Kitawara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitawara ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Watawara. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitawara imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitawara iko katika kundi la S10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitawara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.