Kitasmate
Mandhari
Kitasmate ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Watasmate kwenye kisiwa cha Santo. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kitasmate imehesabiwa kuwa watu 150. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitasmate iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitasmate kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitasmate Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kitasmate katika Glottolog
- lugha ya Kitasmate kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitasmate kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |