Kitaroko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitaroko ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan inayozungumzwa na Wataroko. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kitaroko imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitaroko iko katika kundi la Kiatayaliki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitaroko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.