Kitambotalo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitambotalo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Watambotalo kwenye kisiwa cha Santo. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kitambotalo imehesabiwa kuwa watu 50 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitambotalo iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitambotalo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.