Kitaabwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitaabwa ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Wataabwa. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitaabwa imehesabiwa kuwa watu 132,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitaabwa iko katika kundi la M40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitaabwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.