Kita'oih cha Juu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kita'oih ya Juu)

Kita'oih ya Juu ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Wata'oih. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kita'oih ya Juu nchini Laos imehesabiwa kuwa watu 30,900. Pia kuna wasemaji 19,000 nchini Vietnam (2002). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kita'oih ya Juu iko katika kundi la Kikatuiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kita'oih cha Juu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.