Nenda kwa yaliyomo

Kiswahili cha Socotra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiswahili cha Socotra ni aina ya Kiswahili iliyotoweka iliyokuwa inazungumzwa kisiwani Sokotra nchini Yemen.

Iliripotiwa kuzungumzwa katika sehemu tano za kisiwa hicho (watu wapatao 2,000) mwaka 1962.[1]

  1. Freeman-Grenville (1965). The French at Kilwa Island. cited in Ruete; van Donzel (1993). An Arabian Princess Between Two Worlds: Memoirs, Letters Home, Sequels to the Memoirs. uk. 172, fn. 48.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiswahili cha Socotra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.