Nenda kwa yaliyomo

Kisumariup

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisumariup ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasumariup. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kisumariup imehesabiwa kuwa watu 80 tu, na lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisumariup iko katika kundi la “Sepik Hill”.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisumariup kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.