Kisowa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kisowa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wasowa kwenye kisiwa cha Raga. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kisowa imehesabiwa kuwa watu 20 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisowa iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisowa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.