Kisora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisora ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wasora. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisora imehesabiwa kuwa watu 253,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisora iko katika kundi la Kimunda.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisora kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.