Kisonga
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kisonga (lugha))
Kisonga ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wasonga. Idadi ya wasemaji wa Kisonga haijahesabiwa. Tena Kisonga hakijaainishwa kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kisonga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisonga
- lugha ya Kisonga katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/sgo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisonga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |