Kisoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisoli ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Wasoli. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kisoli imehesabiwa kuwa watu 34,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisoli iko katika kundi la M60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisoli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.