Kisinga (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kisinga ilikuwa lugha ya Kibantu nchini Uganda iliyozungumzwa na Wasinga kwenye kisiwa cha Lusinga. Lugha ya Kisinga imekufa lakini. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisinga iko katika kundi la J10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisinga (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.