Kisie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisie ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wasie kwenye kisiwa cha Erromanga. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisie imehesabiwa kuwa watu 1900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisie iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisie kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.