Kishixing

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kishixing ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Washixing. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kishixing imehesabiwa kuwa watu 1800. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kishixing iko katika kundi la Kinaiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishixing kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.