Kisentinel
Mandhari
Kisentinel ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wasentinal visiwani mwa Andaman. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisentinel imehesabiwa kuwa watu 150. Hakuna habari nyingine kuhusu lugha ya Kisentinel kwa vile Wasentinel wanakataa kuhusiana na watu wa nje.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kisentinel kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisentinel
- lugha ya Kisentinel katika Glottolog
- lugha ya Kisentinel kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisentinel kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |