Kisamei
Mandhari
Kisamei ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisamei imehesabiwa kuwa watu 20,000; hata hivyo lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamei iko katika kundi la Kingwi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kisamei kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisamei
- lugha ya Kisamei katika Glottolog
- lugha ya Kisamei kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisamei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |