Kisala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisala ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Wasala. Mwaka wa [[1986] idadi ya wasemaji wa Kisala imehesabiwa kuwa watu 20,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisala iko katika kundi la M60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.