Kisake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kisake (lugha))

Kisake ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wasake. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisake imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisake iko katika kundi la B20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisake kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.