Kisaaroa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisaaroa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan inayozungumzwa na Wasaaroa. Mwaka wa 2000 idadi ya Wasaaroa imehesabiwa kuwa watu 300 lakini kulikuwa na wazee kumi tu ambao wangeweza kuongea lugha ya Kisaaroa, yaani lugha yao imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisaaroa iko katika kundi la Kitsouiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisaaroa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.