Kirendille

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kirendille ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kenya inayozungumzwa na Warendille. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kirendille imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirendille iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirendille kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.