Kirawat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kirawat (pia Kijangali na Kiraji) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Warawat. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kirawat imehesabiwa kuwa watu 670. Kwa vile Warawat wengi hutumia lugha nyingine badala ya lugha yao ya asili, Kirawat iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kirawat iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirawat kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.