Kiralte
Mandhari
Kiralte ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Waralte. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiralte imehesabiwa kuwa watu 900; hata hivyo, kuna Waralte 34,000 lakini wengi wameacha kutumia lugha yao ya asili, maana yake lugha ya Kiralte imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiralte iko katika kundi la Kisal.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiralte kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiralte
- lugha ya Kiralte katika Glottolog
- lugha ya Kiralte kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiralte kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |