Kirabha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kirabha ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Warabha. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kirabha imehesabiwa kuwa watu 165,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kirabha iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirabha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.