Kipuroik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipuroik (pia Kisulung) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapuroik. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kipuroik imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipuroik iko katika kundi la Kikho-Bwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipuroik kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.