Kipumi cha Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipumi ya Kaskazini ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Watibeti na Wapumi. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kipumi ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 35,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipumi ya Kaskazini iko katika kundi la Kiqiangiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipumi cha Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.