Kipiame

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipiame ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wapiame. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kipiame imehesabiwa kuwa watu 100 tu, na lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipiame iko katika kundi la “Sepik Hill”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipiame kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.