Kiphuza
Mandhari
Kiphuza ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiphuza imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiphuza iko katika kundi la Kingwi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiphuza kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiphuza
- lugha ya Kiphuza katika Glottolog
- lugha ya Kiphuza kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiphuza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |