Kipei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipei ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wapei. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipei imehesabiwa kuwa watu 50 tu. Uainishaji wa Kipei kwa ndani zaidi haujakubaliwa ila wengine huiangalia kama lugha isiyo ya Kisepik bali ya Kiwalio.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.