Kiparenga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiparenga (au Kigorum) ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Waparenga. Mwaka wa 2001 idadi ya Waparenga imehesabiwa kuwa watu 12,600 lakini wengi wao hutumia Kioriya ya Adivasi kama lugha yao badala ya Kiparenga. Kwa hiyo, lugha ya Kiparenga iko karibu na kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiparenga iko katika kundi la Kimunda.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiparenga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.